Welcome to F.I.E.L.D.- the First Ismaili Electronic Library and Database.

Swahili

KIKWETE AMPONGEZA AGA KHAN - 2007-08-20

2007, August 20:RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali yake na watanzania wanathamini michango na miradi mbalimbali ya kijamii ambayo Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani, Mtukufu Karim Agha Khan amewekeza katika nchini. [Mwananchi Communication]

AGA KHAN ASIFU UVUMILIVU WA KIDINI NCHINI - 2007-08-20

2007, August 20:KIONGOZI mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani, Karim Aga Khan, amesema serikali na Watanzania wanastahili pongezi kwa kuendeleza na kusimamia uhuru wa watu kuabudu kulingana na imani zao huku wakiishi kwa amani na utulivu. [Free Media]

SHEIN AKUTANA NA IMAM AGA KHAN - 2007-08-16

2007, August 16: Akizungumza na Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein leo Ikulu Jijini Dar es salaam Imam Aga Khan amesema chuo hicho kitajengwa mkoani Arusha na kwamba kitakuwa cha aina yake katika Afrika kutokana na kuhusisha masomo ya taaluma muhimu pekee. [Kikwete Shein]

Kibaki ashauriana na Aga Khan - 2003-02-17

Source: 
www.kbc.co.ke/story.asp?id=15555&categoryid=5

Rais Mwai Kibaki na kiongozi wa Waislamu wa jamii ya Ismailia msitahiki Aga Khan wamefanya mashauri ya muda mrefu katika Ikulu ya Nairobi.
Waliokuweko wakati wa mashauri hayo ni waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Bwana Kalonzo Musyoka, katibu katika wizara hiyo Peter ole Nkuraiya na mkuu wa itifaki Bwana George Owuor.
Shirika la maendeleo la Aga Khan limekuwa likihusika na miradi mingi hapa nchini kwa miongo kadhaa ambako wakfu wa Aga Khan umekuwa ukufadhili mipango ya elimu, afya na ustawi wa sehemu za mashambani.

Karibu Karim Mowla wetu we

verses: 
3

Title: Karibu Karim Page: 28
Chord:

Source: Swahili - Nairobi

________________________________________________________________________

Karibu Karim, Mowla wetu we (2)

Mupendwa wetu we, baba wetu we (2)

Karibu Karim, Mowla wetu we

Pamoja na Begum Salimah wetu we

Pamojo ne Begum mupendwa wetu we

Pamoja na Begum Salimah wetu we

Pamojo ne Begum mupendwa wetu we

Karibu Karim Mowla wetu we

Verse 1

Tuna furahika kuwa pamoja na we ** (2)

Pamoja ne wewe Begum Salimah awe (2)

Karibu Karim Mowla wetu we (2)

Mupendwa wetu we, baba wetu (2)

Karibu Karim Mowla wetu we

Verse 2

Ana kuja kuja Mowla wangu ana kuja wangu Shah

verses: 
3

Title: Ana kuja kuja Mowla Page: 29________________________________________________________________________

Ana kuja kuja Mowla wangu, ana kuja wangu Shah (2)

Karim wangu Shah, nakupenda wangu Shah (2)

Ana kuja kuja Mowla wangu, ana kuja wangu Shah (2)

Verse 1

Mtume wangu, penzi wangu, wewe rafiki wangu **

Mama wewe, baba wewe, wewe furaha yangu **

Nime ku ngojeya sana Mowla (2)

Njo-upesi kwangu

Karim wangu Shah, nakupenda wangu Shah (2)

Ana kuja kuja Mowla wangu, ana kuja wangu Shah (2)

Verse 2

Njo-upesi Mowla, ni ku one na zangu macho **


Syndicate content

Back to top